Pages

Friday, December 21, 2012

Soledad amekuwa mwanafunzi bora wa mwaka 2012 Grade 1, alitunukiwa cheti cha heshima. Soledad anaingia Grade 2 muhura unaoanza mwaka 2013.
Cheti cha heshima alachotunukiwa Soledad baada ya kujitokeza kuwa amefanya vizuri katika mitihani yake yote, mwenyewe anasema Hisabati ni somo analolipenda.
Soledad na baba yake wakifurahi katika sherehe ya dogo wake Malcolm aliyekaa mbele, shuleni Shree Hindul Mandal Nursery School.
Soledad akiwa na mama yake.